Julius wambua awachiliwa huru, kiongozi wa mashtaka anaweza kurejelea kesi hiyo upya



AFUENI KWA JULIUS WAMBUA
Kesi ya Julius Wambua, aliyekuwa amefungwa maisha kwa madai kuwa alikuwa amemnajisi binti yake miaka minane iliyopita itasikizwa upya iwapo mkurugenzi wa mashtaka ya umma hataridhika na uamuzi wa kumwachilia. #TV47News

Related Posts

See all >>

Latest Posts

See all >>