Machifu watoro walaumiwa kwa kuchangia ongezeko la kesi za mashamba katika kaunti ya Kakamega



Machifu na manaibu wao wamelaumiwa pakubwa kwa kwa kuchangia ongezeko la kesi za mashamba katika mahakama kuu ya Kakamega.

Jaji katika mahakama kuu ya Kakamega Patrick Otieno amesema kuwa asilimia kubwa ya kesi kwenye mahakama hiyo zinahusu mashamba huku akiwasuta baadhi ya machifu kwenye kaunti hiyo kudai hongo kabla ya kuwahudumia wenyeji.

#TV47Matukio

Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from ‘Home of The Untold Stories.’

*About TV47*
‘TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__

Connect with us:

Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__

Trending Now


President William Ruto has confirmed plans for a significant new industrial development in…


Subscribe to Our Newsletter

*we hate spam as much as you do

More From Author


Related Posts

See all >>

Latest Posts

See all >>