Wakaazi wa Maragua waomba bwawa la Maragua lirejeshwe MUSWASCO



Wakaazi wa Kaunti Ndogo ya Maragua wawasilisha tetesi zao kwa bunge la kaunti.

Wakaazi hao wanasema tangazo la Rais Ruto kuikabidhi MUWASCO usimamizi sio halali

Katika ombi lao wanataka usimamizi wa bwaa hilo urejeshwe kwa kwa MUSWASCO.

Kumekuwa na mvutano kati ya Murang’a Kusini na Kaskazini.

Wakaazi hao wanasema hawajapata maji na wamepoteza kazi tangu MUWASCO kuchukua usukani.

#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from ‘Home of The Untold Stories.’

*About TV47*
‘TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__

Connect with us:

Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__

Trending Now


Paul Pogba is back and this time he’s heading to Ligue 1 for…

Business .
KENYA’S 1Q25 BANKING SECTOR

Subscribe to Our Newsletter

*we hate spam as much as you do

More From Author


Business .
KENYA’S 1Q25 BANKING SECTOR

Related Posts

See all >>

Latest Posts

See all >>
Pogba’s redemption story begins in Monaco
Sports .
Pogba’s redemption story begins in Monaco
KENYA’S 1Q25 BANKING SECTOR
Business .
KENYA’S 1Q25 BANKING SECTOR